Beka ibrozama Beka Ibrozama Dar-es-salaam Naitwa Bakari Hassan Mselem, jina la usanii najulikana kama Beka Ibrozama. Nimezaliwa Tanzania katika mkoa wa Dar-es-salaam na kabila langu ni mmwela kutoka kusini mwa Tanzania mkoa wa kilwa wilaya ya Lindi. Nilianza sanaa yangu ya kuimba (muziki)nikiwa shule ya msingi darasa la sita mwaka 2005 na nyimbo yangu ya kwanza niliitoa mwaka 2008 ilijulikana kama NATUMAINI nilio washirikisha BARNABA na AMINI wakati huo nikiwa sekondari kidato cha pili na nyimbo hiyo haikufanya vizuri kabisa. Mwaka 2010 nikatoa remix yake ambayo nilionganisha mashahili ya nyimbo tofauti tofauti zisizo pungua 20 kuwa nyimbo moja,na nyimbo hiyo ndio ilinipatia jina na kunitambulisha katika ulimwengu wa muziki na jina langu kuwa kubwa sana Tanzania na Afrika mashariki na kati pia ikanifanya kujenga historia kuwa msanii pekee niliejaza klabu maarufu Dar-es-salaam hiitwayo kama CLUB BILLICANAS nikiwa na nyimbo moja na rekodi hiyo mpaka leo haijawahi kuvunjwa na msanii yoyote. Hapo ndipo safari yangu ya muziki iliianza rasmi na ilinipa matumaini makubwa nikanz kutoa nyimbo mfurulizo kama :-. -Mbali, Mahabuba, Changanya, Kidanift Jolie. Mwaka 2011 - NARUDI KAZINI.\par Mwaka 2012 - MZAZI MWENZANGU. Mwaka 2013 - COME BACK.\par Baada ya hapo nikapunzika miaka mitatu kwa ajili ya kujiandaa na muziki wa live na mwaka 2017 nikafanikiwa kuanzisha bandi yangu ya muziki ilijulikana kama SPIDOCH BAND na mwaka 2018 tukafanikiwa kutoa nyimbo mbili zilijulikana kama KANGAROO NA MWANZA.\par Mwaka 2020 nikatoa nyimbo nne nikiwa nje ya band nazo zilijulikana kama Beka ibrozama’s tracks Beka Ibrozama - Mama Samia (Official Audio) by Beka ibrozama published on 2021-06-01T12:43:14Z Beka Ibrozama - Mbali (Official Audio) by Beka ibrozama published on 2021-06-01T12:42:17Z Beka Ibrozama - Kidani (feat. Jolie) | Official Audio by Beka ibrozama published on 2021-06-01T12:41:17Z kangaroo - official audio by Beka ibrozama published on 2021-06-01T12:40:24Z Beka Ibrozama - Mahabuba (Officia audio) by Beka ibrozama published on 2021-06-01T12:36:47Z Beka Ibrozama - Changanya by Beka ibrozama published on 2021-06-01T12:17:22Z Beka | Natumaini Remix | Official audio by Beka ibrozama published on 2021-06-01T12:13:06Z
Beka Ibrozama - Kidani (feat. Jolie) | Official Audio by Beka ibrozama published on 2021-06-01T12:41:17Z