Kionjo cha Kipindi cha Tatu by Bongo La Biashara published on 2017-04-10T09:45:58Z Tegea kipindi cha Bongo La Biashara. Tutaangazia jinsi wanabiashara kibera wanavyopata fedha za kuanzisha na kukuza biashara zao. Jiunge nasi upate burudani na mafunzo kemukemu. Genre Business